Kulikuwa na vurugu kubwa katika soko moja maarufu jijini Mwanza baada ya kundi la vijana wanaojulikana kama “ma-genz” kunaswa wakijaribu kumlaghai mama mboga na kuiba kiasi cha shilingi laki moja. Tukio hilo liligeuka fedheha kubwa baada ya vijana hao kushindwa kutoroka na kujikuta wakivuliwa nguo hadharani na wananchi wenye hasira.
Kwa mujibu wa mashuhuda, vijana hao walijifanya wateja na kuanza kuchukua bidhaa huku wakimchanganya mama mboga kwa mazungumzo mengi. Ndani ya muda mfupi, walichukua pesa kutoka kwenye droo bila yeye kugundua mara moja…… SOMA ZAIDI
