Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano Mhe. Deus Sangu akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Bi. Rosemary Senyamule pamoja na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Don Bosco kwenye Hafla ya Uzinduzi wa Mafunzo ya Uanagenzi Awamu ya Nane kwa Mwaka 2025/2026 leo Machi 3, 2026 Jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano Mhe. Deus Sangu akivalishwa Skafu na vijana wa Skauti mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Don Bosco kwenye Hafla ya Uzinduzi wa Mafunzo ya Uanagenzi Awamu ya Nane kwa Mwaka 2025/2026 leo Machi 3, 2026 Jijini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu kazi, Ajira na Mahusiano Bi. Zuhura Yunus akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Don Bosco kwenye Hafla ya Uzinduzi wa Mafunzo ya Uanagenzi Awamu ya Nane kwa Mwaka 2025/2026 leo Machi 3, 2026 Jijini Dodoma.
Aidha Mgeni rasmi ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano Mhe. Deus Sangu.
Baadhi ya Washiriki wakijisajili wakati wa Hafla ya Uzinduzi wa Mafunzo ya Uanagenzi Awamu ya Nane kwa Mwaka 2025/2026, Katika ukumbi wa Chuo cha Ufundi Don Bosco Dodoma. Tarehe 03 Marchi 2026.
Aidha, Mgeni rasmi ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano Mhe. Deus Sangu.



