Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, leo tarehe 23 Februari, 2026 akishuhudua utoaji maji wa bomba la Mradi wa Majisafi wa Sinya–Namanga unaotekelezwa eneo la Sinya, Longido mkoani Arusha. Mradi huo unaotarajiwa kuongeza uzalishaji wa maji hadi lita 4,100,000 kwa siku, unatekelezwa na mkandarasi M/s. Zongii Contractors Co. LTD kwa gharama ya Shilingi bilioni 13.5 ambazo zinazotolewa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Februari 23, 2026 akiweka jiwe la msingi la uzinduzi wa Shule ya Sekondari Sinya iliyopo katika Kata ya Sinya, Kijiji cha Leremeta, Wilaya ya Longido mkoani Arusha. Ujenzi wa shule hiyo umegharimu shilingi bilioni 1.2  kutoka Serikali Kuu, SEQUIP, TASAF na Mapato ya Ndani ya Halmashauri, pamoja na mchango wa wananchi wa shilingi milioni 34.

Muonekano wa Shule ya Sekondari Sinya iliyopo katika Kata ya Sinya, Kijiji cha Leremeta, Wilaya ya Longido mkoani Arusha ambayo Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameizinzua rasmi leo tarehe 23 Februari, 2026. Ujenzi wa shule hiyo umegharimu shilingi bilioni 1.2  kutoka Serikali Kuu, SEQUIP, TASAF na Mapato ya Ndani ya Halmashauri, pamoja na mchango wa wananchi wa shilingi milioni 34 . PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Februari 23, 2026 akizungumza na wananchi mara baada ya kuweka jiwe la msingi la uzinduzi wa Shule ya Sekondari Sinya iliyopo katika Kata ya Sinya, Kijiji cha Leremeta, Wilaya ya Longido mkoani Arusha. Ujenzi wa shule hiyo umegharimu shilingi bilioni 1.2  kutoka Serikali Kuu, SEQUIP, TASAF na Mapato ya Ndani ya Halmashauri, pamoja na mchango wa wananchi wa shilingi milioni 34. PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Februari 23, 2026 akisalimiana na wanafunzi kabla ya kuweka jiwe la msingi la uzinduzi wa Shule ya Sekondari Sinya iliyopo katika Kata ya Sinya, Kijiji cha Leremeta, Wilaya ya Longido mkoani Arusha. Ujenzi wa shule hiyo umegharimu shilingi bilioni 1.2  kutoka Serikali Kuu, SEQUIP, TASAF na Mapato ya Ndani ya Halmashauri, pamoja na mchango wa wananchi wa shilingi milioni 34 . PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU.

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Februari 23, 2026 akipanda mti mara baada ya kuweka jiwe la msingi la uzinduzi wa Shule ya Sekondari Sinya iliyopo katika Kata ya Sinya, Kijiji cha Leremeta, Wilaya ya Longido mkoani Arusha. Ujenzi wa shule hiyo umegharimu shilingi bilioni 1.2  kutoka Serikali Kuu, SEQUIP, TASAF na Mapato ya Ndani ya Halmashauri, pamoja na mchango wa wananchi wa shilingi milioni 34 . PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU