Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Shule ya Sekondari Stephen Moshi Technical ambayo itagharimu shilingi bilioni 1.6  hadi kukamilika kwake leo tarehe 19 Februari, 2026. Mradi huo utahusisha Ujenzi wa madarasa 08, ofisi 02, chumba 01 cha TEHAMA, maabara ya kemia na baiolojia, mabweni 4 ya wasichana na wavulana, bwalo 01, karakana 01 ya magari, matundu 08 ya vyoo vya wasichana na wavulana na Kichomea taka. PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU

Muonekano wa Shule ya Sekondari Stephen Moshi Technical iliyozinduliwa rasmi kwa kuwekwa jiwe la msingi na Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo tarehe 19 Februari,2029 ambayo itagharimu shilingi bilioni 1.6  hadi kukamilika kwake. Mradi huo utahusisha Ujenzi wa madarasa 08, ofisi 02, chumba 01 cha TEHAMA, maabara ya kemia na baiolojia, mabweni 4 ya wasichana na wavulana, bwalo 01, karakana 01 ya magari, matundu 08 ya vyoo vya wasichana na wavulana na Kichomea taka. PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akipanda mti mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Shule ya Sekondari Stephen Moshi Technical ambayo itagharimu shilingi bilioni 1.6  hadi kukamilika kwake leo tarehe 19 Februari, 2026. Mradi huo utahusisha Ujenzi wa madarasa 08, ofisi 02, chumba 01 cha TEHAMA, maabara ya kemia na baiolojia, mabweni 4 ya wasichana na wavulana, bwalo 01, karakana 01 ya magari, matundu 08 ya vyoo vya wasichana na wavulana na Kichomea taka. PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la Utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro leo tarehe 19 Februari, 2026. Kushoto ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI Reuben Kwagilwa. PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi waliojitokeza kumsikiliza katika ziara yake ya kikazi mkoani Kilimanjaro leo tarehe 19 Februari, 2026. PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU