Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akipanda mti mbele ya Ofisi ya Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma  Januari 27, 2026 ikiwa ni  kuunga mkono, uamuzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan wa kuadhimisha siku ya   kuzaliwa kwake kwa  kulinda mazingira. Kushoto ni  Kaimu Kamanda wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Kanda ya Kati, PCOI Husna Msagati. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Neema Nchemba akipanda mti mbele ya Ofisi ya Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma Januari 27, 2026  ikiwa ni  kuunga mkono, uamuzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan wa kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwake kwa kulinda mazingira.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu baada ya kupanda mti mbele ya Ofisi ya Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma, Januari 27, 2026   ikiwa ni  kuunga mkono, uamuzi wa Rais wa Janmhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan wa kuadhimisha siku ya   kuzaliwa kwake kwa kulinda mazingira. Kushoto ni  Kaimu Kamanda wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Kanda ya Kati, PCOI Husna Msagati. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).