Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo akipewa maelezo na Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Mji Mdogo Kyela Gerald Mlelwa alipokagua majengo ya Mamlaka ya Mji mdogo wa Kyela ambayo yaliathiriwa na vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025. Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amefanya ukaguzi huo Desemba 18, 2025 mkoani Mbeya ambapo yupo kwa ziara ya kikazi ya kukagua miundombinu ya umma na mali za watu binafsi zilizoathiriwa na vurugu zilizotokea Oktoba 29 Mwaka huu nchini. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Muonekano wa majengo ya Mamlaka ya Mji mdogo wa Kyela ambayo yaliathiriwa na vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025. Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amekagua majengo hayo Desemba 18, 2025. Mheshimiwa Dkt. Mwigulu yupo mkoani Mbeya kwa ziara ya kikazi ya kukagua miundombinu ya umma na mali za watu binafsi zilizoathiriwa na vurugu zilizotokea Oktoba 29 Mwaka huu nchini (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akikagua Jengo la Ofisi ya Kituo cha Forodha kwa Pamoja-Kasumulu ambacho kiliathiriwa na vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025. Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amefanya ukaguzi huo Desemba 18, 2025 mkoani Mbeya ambapo yupo kwa ziara ya kikazi ya kukagua miundombinu ya umma na mali za watu binafsi zilizoathiriwa na vurugu zilizotokea Oktoba 29 Mwaka huu nchini. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Muonekano wa baadhi ya maeneo katika jengo la Ofisi ya Kituo cha Forodha kwa Pamoja-Kasumulu ambayo yaliathiriwa na vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025. Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amekagua majengo hayo Desemba 18, 2025. Mheshimiwa Dkt. Mwigulu yupo mkoani Mbeya kwa ziara ya kikazi ya kukagua miundombinu ya umma na mali za watu binafsi zilizoathiriwa na vurugu zilizotokea Oktoba 29 Mwaka huu nchini (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
