WhatsApp Image 2025-11-18 at 12.03.44 (1).jpeg

WhatsApp Image 2025-11-18 at 12.03.44.jpeg

Muonekano wa Ujenzi Uwanja Wa Zanzibar Sports City Uliopo Fumba, Mkoa wa Mjini Magharibi 

0U6A6596_DxO.jpg

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh,Dkt Hussein Ali Mwinyi, akiangalia Ramani ya Mradi wa Uwanja wa Zanzibar Sports City (PICHANI KULIA) Mmiliki wa Kampuni ya ORKUN Inayotekeleza Ujenzi wa Uwanja (KUSHOTO) Mhe Riziki Pembe Juma Waziri Mpya wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo

 WhatsApp Image 2025-11-18 at 12.53.25.jpeg
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameutembelea mradi wa kimkakati wa Zanzibar Sports City uliopo Fumba, Mkoa wa Mjini Magharibi, kwa ajili ya kukagua maendeleo ya ujenzi unaoendelea kwa maandalizi ya Michezo ya AFCON 2027.

WhatsApp Image 2025-11-18 at 12.53.25 (1).jpeg