Maelfu ya Wananchi wa Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita wakiwa pamoja na Viongozi mbalimbali wa Chama na Jumuiya, Viongozi wa Dini wamempokea Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro na Nails Waziri Mkuu Dkt. Doto Biteko leo tarehe 12 Oktoba 2025 katika mji wa Mbogwe mkoani Geitaย 

Pamoja na mambo mengine, Dkt. Migiro na na Dkt. Doto Biteko wametanguliza salamu za upendo na ujio wa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Rais Dkt. ๐—ฆ๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ฆ๐˜‚๐—น๐˜‚๐—ต๐˜‚ ๐—›๐—ฎ๐˜€๐˜€๐—ฎ๐—ป ambaye pamoja na kuja kusalimia, atanadi ilani ya CCM, Sera na Ahadi zake na kuomba kuwa kwa mafiga matatu.