Wananchi wa Bariadi mkoani Simiyu wakiwa na hamasa kubwa katika uwanja wa Halmashauri tayari kwa kumsikiliza mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan ili kuwahutubia na kuwaomba kumpigia kura za ndiyo katika uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na madiwani unaotarajiwa kufanyika oktoba 29, 2025 nchi nzima huku akinadi ilani ya Uchaguzi ya CCM 2025/ 2030 na kueleza Mambo makubwa yaliyofayika katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wake.


DKT. SAMIA AWASILI UWANJA WA HALMASHAURI BARIADI MKOANI SIMIYU
