๐๐๐๐ก๐๐ช ๐ฎ๐ ๐ฌ๐๐ฃ๐๐ฃ๐๐๐ ๐ฌ๐๐๐๐ฉ๐ค๐ ๐๐ฏ๐ ๐ ๐ช๐ข๐ก๐๐ ๐.
Kutokea katika viwanja vya Mwenge wilayani Butiama mkoani Mara, maelfu ya wananchi wamejitokeza kwa wingi kuthibitisha kuwa wao ndiyo waliomlea Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Nyerere ambaye ni sehemu muhimu ya waasisi wa ukombozi Taifa hili na uundwaji wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hivyo leo wamepania kuonesha hadhi hiyo kwa kuonesha imani yao kubwa kwa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Rais Dkt. ๐ฆ๐ฎ๐บ๐ถ๐ฎ ๐ฆ๐๐น๐๐ต๐ ๐๐ฎ๐๐๐ฎ๐ป.
๐ฝ๐ช๐ฉ๐๐๐ข๐ ๐ฌ๐๐ฅ๐ค ๐ฉ๐๐ฎ๐๐ง๐ ๐ ๐ช๐ฉ๐๐ ๐ ๐๐กi ๐ ๐ช๐๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ ๐จ๐๐๐๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐ข๐๐๐ฃ๐๐๐ก๐๐ค ๐๐ฃ๐๐๐ก๐๐ซ๐ช ๐๐๐๐ฃ๐ ๐ฎ๐ ๐ฟ๐ ๐ฉ. ๐๐๐ข๐๐
Huu ni muendelezo wa mikutano ya kampeni za Urais kupitia CCM ndani ya mkoa wa Mara, leo tarehe 10 Oktoba 2025.

