Mratibu wa Kampeni za Uchaguzi kupitia CCM (kanda ya kati) na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Bashiru Ally, amewasili na kupokelewa na wananchi wa Buhongwa wilayani Nyamagana mkoani Mwanza tayari kuendelea gurudumu la kumnadi Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Rais Dkt. ๐ฆ๐ฎ๐บ๐ถ๐ฎ ๐ฆ๐๐น๐๐ต๐ ๐๐ฎ๐๐๐ฎ๐ป leo tarehe 7 Oktoba 2025.
๐๐ฌ๐๐ฃ๐ฏ๐ ๐๐ข๐๐๐ฃ๐ฏ๐ ๐ ๐ช๐ค๐ฃ๐๐จ๐๐ ๐ช๐ ๐ช๐๐ฌ๐ ๐ฌ๐๐ ๐ ๐ ๐๐ฉ๐๐ ๐ ๐ ๐ช๐ข๐ก๐๐ ๐ ๐ฟ๐ ๐ฉ. ๐๐ผ๐๐๐ผ ๐ฃ๐ ๐๐๐๐๐ ๐ฎ๐๐ค ๐ฃ๐ ๐ ๐ช๐ข๐ฅ๐ ๐ข๐๐ฉ๐๐ฃ๐ค ๐ฉ๐๐ฃa
