Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, amewasili na kupokelewa kwa shangwe na Viongozi mbalimbali wa Chama na Jumuiya zake, Viongozi wa dini, Machifu pamoja na maelfu ya wananchi wa Babati mkoani Manyara katika viwanja vya stendi ya zamani ya mabasi ya Babati, leo tarehe 4 Oktoba 2025.

Dkt. Migiro ametanguliza salamu za upendo za Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Rais Dkt. ๐—ฆ๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ฆ๐˜‚๐—น๐˜‚๐—ต๐˜‚ ๐—›๐—ฎ๐˜€๐˜€๐—ฎ๐—ป kwa wananchi hao.

#SafariYaCCM

#KaziNaUtuTunasongaMbele

#OktobaTunatiki๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟโœ