Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kasulu katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Kigoma tarehe 13 Septemba, 2025.
Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika Kazuramimba, Uvinza mkoani Kigoma tarehe 13 Septemba, 2025.

