Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro leo tarehe 06 Septemba,2025 mara baada ya kuhitimisha shughuli za kampeni, za Mgombea Urais, amekutana na Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Iringa pamoja na wagombea wa Ubunge.