Na Neema Mtuka Sumbawanga 

Rukwa:Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Sumbawanga Mjini Kulanga Matia Kanyanga leo Agosti 27, 2025 amemteua Aeshi Hilaly kuwa mgombea Ubunge Jimbo la Sumbawanga Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) 

Mara baada ya kurejesha fomu Aesh amezungumza na wananchi pamoja na wanachama wa chama hicho kuwa wasifanye makosa ifikapo oktoba 29 ili kupata viongozi bora watakaoleta maendeleo.