Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga Azza Hillal Hamad leo Juni 30,2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea Ubunge Jimbo Jipya la Itwangi, ambalo limekatwa kutoka Jimbo la Solwa mkoani Shinyanga.
AZZA HILLAL HAMAD ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO JIPYA LA ITWANGI
By Alex Sonna
June 30, 2025 | 6:00 pm

Related Stories
View all
Mchanganyiko
2 hours ago
SHILATU AFUNGUA MSIMU WA KOROSHO 2026/2027
Na Mwandishi wetu, Msimu wa Korosho 2026/2027 umezinduliwa rasmi na Emmanuel Shilatu kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya Masasi ambapo amewataka viongozi wa Amcos…
Mchanganyiko
3 hours ago
MWINYI: UISLAMU UNAHIMIZA UPENDO, AMANI NA UMOJA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Uislamu unahimiza upendo, amani, umoja na mshikamano, misingi ambayo…
