Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akifungua Jengo la Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Bariadi, mkoani Simiyu tarehe 16 Juni, 2025.

RAIS SAMIA AFUNGUA JENGO LA HALMASHAURI YA MJI WA BARIADI
