Mwaka 2000 kaka yangu kipenzi alifariki duniani na kuacha watoto watatu, wawili wa kike na mmoja wa kiume. Kitendo cha kaka yangu kutoka duniani kilihuzunisha familia yetu kwa ujumla hadi sasa hivi kwa sababu yeye ndo alikuwa kiongozi wa familia yetu pia alikuwa amebeba majukumu makubwa sana tangu Baba yetu na mama watoke duniani pia. […]….. SOMA ZAIDI
NJIA YA KUUSHINDA URAIBU WA POMBE NA DAWA ZA KULEVYA
By fullshangwe
June 7, 2025 | 12:13 pm

Related Stories
View all
Mchanganyiko
6 minutes ago
WAZIRI WA ULINZI NA JKT AZINDUA MRADI WA KIWANDA CHA KOKOTO CHA SHIRIKA LA MZINGA NANJA, MONDULI
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Dkt. Rhimo Nyansaho (Mb.), tarehe 12 Oktoba 2026, amezindua mradi wa kiwanda cha kuzalisha kokoto…
Mchanganyiko
7 minutes ago
WANANCHI MWANZA WAMIMINIKA KUPATA HUDUMA ZA MATIBABU YA MOYO KATIKA BANDA LA JKCI
Na Mwandishi Maalumu – Mwanza Huduma zinazotolewa na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) zimedhihirisha kuwa na uhitaji mkubwa kwa wananchi katika kile mkoa…