Visa vya wizi wa magari vimekuwa vikiripotiwa kwa wingi katika maeneo mbalimbali humu nchini Kenya, kila wiki ningeweza kusikia habari kwenye chombo cha habari kisa kimoja au viwili vikiripotiwa kuhusu wizi wa gari, jambo ambalo sikuchukulia kwa uziri kwani nilidhani ni uongo tu. Ni hivi majuzi ambapo niliweza kukumbana na wizi huo moja kwa moja […]…… SOMA ZAIDI
DUH! WEZI WAJIKUTA WAKIPELEKA GARI LA WIZI POLISI
By fullshangwe
June 6, 2025 | 6:30 am

Related Stories
View all
Mchanganyiko
34 minutes ago
SHULE YA ALBEHIJE YAONYESHA ELIMU JUMUISHI INAVYOBADILI MAISHA YA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUMU
Mkuu wa shule hiyo, Augustino Lubuva akizungumza katika mahafali hayo jijini Arusha leo Happy Lazaro, Arusha. ARUSHA: SHULE ya mchepuo wa kiingereza ya Albehije…
Mchanganyiko
3 hours ago
BANGU: KIWANGO STAHIKI CHA UNYEVU KWENYE KOROSHO KIZINGATIWE
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB), Bw. Asangye Bangu, amewataka wakulima na waendesha ghala kuhakikisha korosho zinakidhi kiwango stahiki…