Katika maisha sikuwahi kuwaza kamwe kwamba ndoa yangu ingekaribia kuvunjika miezi michache tu baada ya harusi yetu ambayo ilihudhuriwa na watu wengi na kuteka mazungumzo kila kona kwa yale yaliyojiri. Yote ilianza usiku wa harusi yetu, wakati mimi na mume wangu tukitazamia kuanza kufaidi matunda ya ndoa, mambo yalienda ndivyo sivyo kabisa. Tulikuwa tukiingoja siku […]…… SOMA ZAIDI
DUH! USIKU WA MAHARUSI ULIVYOGEUKA KUWA SHUBIRI, KISA?
By fullshangwe
May 26, 2025 | 1:25 am

Related Stories
View all
Mchanganyiko
33 minutes ago
WAZIRI HOMERA ASHIRIKI MKUTANO WA 17 WA JUKWAA LA KIMATAIFA LA NISHATI RIYADH
Riyadh, Saudi Arabia Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Juma Z. Homera, ameongeza ujumbe wa Sekta ya Nishati katika Mkutano wa 17 wa Mawaziri wa…
Mchanganyiko
49 minutes ago
WAZIRI MKUU AZUNGUMZA NA DIASPORA UINGEREZA
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Oktoba 11, 2026, amezungumza na Watanzania wanaoishi Uingereza na nchi jirani (Diaspora). Katika mazungumzo hayo, Dkt. Mwigulu amewasilisha…