Kutana na simulizi ya kijana mmoja, James ambaye anaamini kuwa mwanamke aliyemchukua kwenye baa usiku mmoja na kulala naye kwenye nyumba ya kulala wageni huko Kagera ndiye aliyehusika na masaibu anayopitia kwa sasa. James yuko tambarare kabisa pale maeneo, kwa ufupi jogoo wake umetoweka, kutokana na hilo, hajaonekana nyumbani ambapo mkewe na watoto wake wawili […]…….. SOMA ZAIDI
JOGOO WA JAMAA AYEYUKA BAADA YA KUMCHUKUA MREMBO WA BAA
By fullshangwe
May 18, 2025 | 2:00 am

Related Stories
View all
Mchanganyiko
1 hour ago
MAKAMU MWENYEKITI UVCCM REHEMA SOMBI AWAHIMIZA VIJANA KUWA NA NIDHAMU NA KUSHIRIKI MAENDELEO YA TAIFA
Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Ndg. Rehema Sombi Omary (MNEC), amewahimiza vijana kuwa na nidhamu na uzalendo akisisitiza umuhimu wa kushiriki kikamilifu katika uongozi…
Mchanganyiko
1 hour ago
MILIONI 362 ZAPATIKANA HARAMBEE YA UJENZI WA KANISA LA AICT DODOMA, PROF. SHEMDOE AONGOZA HARAMBEE
Na: OWM – TAMISEMI, Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Mhe. Prof. Riziki…