Dada mmoja aitwaye Khadija kazi yake ilikuwa rahisi tu, kazi hiyo ilimbidi tu kujifanya kama anauza mkufu wa dhahabu kwa bei ya kutupa kisha kuwavuta wateja hadi eneo fulani la uchochoni, halafu hapo wanaume kadhaa watajitokeza na kumpora mwanaume huyo…. SOMA ZAIDI
MZEE ALIYEPORWA MILIONI 13.7 AREJESHEWA FEDHA ZAKE KIMIUJIZA
By fullshangwe
May 16, 2025 | 2:07 am

Related Stories
View all
Mchanganyiko
5 hours ago
MALIASILI NA MIAKA 27 YA KUMBUKIZI YA MWL. NYERERE
Na Oscar Mbuza, Morogoro WIZARA ya Maliasili na Utalii imetaja mafanikio mbalimbali iliyoyapata kutokana na kuenzi kwa vitendo maono ya Rais wa Kwanza wa…
Mchanganyiko
6 hours ago
TANZANIA YATAKIWA KUTUMIA VYAKULA VYA ASILI KUKUZA UTALII NA BIASHARA
Mkurugenzi Mtendaji wa Devan Communication Consultancy na Mwandaaji wa Tamasha la Wadau wa Chakula Tanzania, Salima Mseta akizungumza kwenye Tamasha la Mashefu Tanzania lililofanyika…