Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe ametangaza kuzuia mazao ya aina yoyote kuingizwa nchini Tanzania kutoka katika nchi za Afrika Kusini na Malawi kutokana na changamoto zilizojitokeza ili kulinda biashara na wafanyabiashara wa Tanzania mpaka hapo itakavyokuwa vinginevyo, pia amezuia mazao na mbolea au mizigo yoyote ya mazao inayotoka nje ya Tanzania na kupitishwa kuelekea Malawi, amesema mazungumzo bado yanaendelea ambayo yanaongozwa na Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo.
WAZIRI BASHE APIGA MARUFUKU UINGIZWAJI WA MAZAO KUTOKA AFRIKA KUSINI NA MALAWI
By fullshangwe
April 24, 2025 | 12:54 am

Related Stories
View all
Mchanganyiko
2 seconds ago
SERIKALI YAWATAKA WAZALISHAJI WA SARUJI KUEPUKA UHUJUMU WA SOKO LA SARUJI
*Asema hatua za kisheria kuchukuliwa kwa atakayebainika. *wazalishaji wahakikishe saruji inawafikia wananchi Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga (Mb) amewataka wazalishaji wa…
Mchanganyiko
10 minutes ago
TANESCO YANG’ARA TUZO ZA UMAHIRI WA MAWASILIANO KWA UMMA
* Yanyakua tuzo nne katika vipengele mbalimbali *Yatambuliwa kwa ubora katika mawasiliano ya kimkakati, elimu kwa umma na usimamizi wa mawasiliano wakati wa migogoro…