Miaka kama saba iliyopita niliolewa na kijana ambaye kila jambo ilikuwa ni lazima amshirikishe mama yake, sikua na shida na hilo jambo, ingawa ukaribu wao ulikua kidogo umezidi kusema kweli. Hata kabla ya kuanza naye mahusiano kumbe mama yake alinitathmini kwanza ndio akampa ruhusa ya…….. SOMA ZAIDIĀ
JAMANI MAMA MKWE ANAINGILIA HADI MAMBO YETU YA CHUMBANI!!
By fullshangwe
March 25, 2025 | 9:40 pm

Related Stories
View all
Mchanganyiko
23 minutes ago
NGOS ZATAKA KUJENGA MTANDAO WA PAMOJA KUPUNGUZA URUDIAJI WA MIRADI
NA DENIS MLOWE, IRINGA MASHIRIKA yasiyo ya kiserikali (NGOs) mkoani Iringa yameeleza umuhimu wa kujenga mtandao wa pamoja utakaowezesha mashirika hayo kufahamiana, kubadilishana huduma…
Mchanganyiko
29 minutes ago
USHIRIKIANO WA TANZANIA NA UINGEREZA WAACHA HISTORIA KUPITIA MKUTANO WA IPU
Historia inaonesha kwa miaka arobaini (40) iliyopita Bunge la Uingereza limekuwa likishiriki katika Mikutano ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) katika nafasi ya uwakilishi…