Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko (Kushoto), akiagana na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), baada ya Maadhimisho ya Miaka 60 ya kuanzishwa kwa Chuo cha Biashara Tanzania (CBE) pamoja na uzinduzi wa Dira ya Miaka 50 ijayo ya Chuo hicho, yaliyofanyika katika Kampasi ya Chuo hicho, Jijini Dar es Salaam. (Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-WF)
DKT. NCHEMBA: ELIMU YA BIASHARA INA MCHANGO MKUBWA KIUCHUMI
By fullshangwe
January 21, 2025 | 3:16 pm

Related Stories
View all
Mchanganyiko
32 minutes ago
WAUMINI KANISA LA MOROVIAN USHIRIKA WA RUVUMA WAJIPANGA KUJENGA KANISA JIPYA
Na Mwandishi Wetu, Ruvuma WAUMINI wa Kanisa la Morovian Tanzania Jimbo la Misheni ya Ruvuma na Njombe Ushirika wa Songea,wamechanga zaidi ya Sh.milioni 26,260,600…
Mchanganyiko
9 hours ago
RAIS DKT. SAMIA AHIMIZA USIMAMIZI WA RASILIMALI ZA UMMA KATIKA MKUTANO WA IPU
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameyataka mabunge kuimarisha usimamizi wa rasilimali za umma na uwajibikaji wa serikali, akisisitiza…