Waziri wa  Utalii na Mambo ya Kale Mudrik Ramadhan Soraga (kulia)akikunjuwa Kitambaa kuashiria Uwekaji wa Jiwe la Msingi katika hafla ya Uzinduzi wa Barabara za Bumbwini Skuli-Kiongwe 4.30 km hafla iliofanyika Bumbwini Mafufuni Kaskazini Unguja.Ikiwa ni Katika Shamra shamra za Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar.yenye Kauli mbiu “Miaka 61 ya Mapinduzi :Amani ,Umoja na Mshikamano kwa maendeleo yetu.

Waziri wa  Utalii na Mambo ya Kale Mudrik Ramadhan Soraga (katikati)akikata Utepe  kuashiria Uzinduzi wa Barabara za Bumbwini Skuli-Kiongwe 4.30 km hafla iliofanyika Bumbwini Mafufuni Kaskazini Unguja.Ikiwa ni Katika Shamra shamra za Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar.yenye Kauli mbiu “Miaka 61 ya Mapinduzi :Amani ,Umoja na Mshikamano kwa maendeleo yetu.

Baadhi ya Wananchi mbalimbali waliohudhuria katika  hafla ya Uzinduzi wa Barabara za Bumbwini Skuli-Kiongwe 4.30 km hafla iliofanyika Bumbwini Mafufuni Kaskazini Unguja.Ikiwa ni Katika Shamra shamra za Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar.yenye Kauli mbiu “Miaka 61 ya Mapinduzi :Amani ,Umoja na Mshikamano kwa maendeleo yetu.

Waziri wa  Utalii na Mambo ya Kale Mudrik Ramadhan Soraga akitoa hotba ya Uzinduzi wa Barabara za Bumbwini Skuli-Kiongwe 4.30 km hafla iliofanyika Bumbwini Mafufuni Kaskazini Unguja.Ikiwa ni Katika Shamra shamra za Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar.yenye Kauli mbiu “Miaka 61 ya Mapinduzi :Amani ,Umoja na Mshikamano kwa maendeleo yetu.

 

Baadhi ya Wananchi mbalimbali na Wafanyakazi waliohudhuria katika  hafla ya Uzinduzi wa Barabara za Bumbwini Skuli-Kiongwe 4.30 km hafla iliofanyika Bumbwini Mafufuni Kaskazini Unguja.Ikiwa ni Katika Shamra shamra za Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar.yenye Kauli mbiu “Miaka 61 ya Mapinduzi :Amani ,Umoja na Mshikamano kwa maendeleo yetu.

Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Dk Habiba Hassan Omar akitoa Taarifa ya Kitaalamu katika  hafla ya Uzinduzi wa Barabara za Bumbwini Skuli-Kiongwe 4.30 km hafla iliofanyika Bumbwini Mafufuni Kaskazini Unguja.Ikiwa ni Katika Shamra shamra za Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar.yenye Kauli mbiu “Miaka 61 ya Mapinduzi :Amani ,Umoja na Mshikamano kwa maendeleo yetu.
PICHA NA YUSSUF SIMAI,MAELEZO ZANZIBAR.04/01/2025I