2025
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA WAIMARISHA ULINZI MKESHA WA MWAKA MPYA
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kuimarisha ulinzi na usalama kuelekea mkesha wa mwaka mpya na sherehe za mwaka mpya kwa kufanya doria…
NYANSAHO FOUNDATION WATOA MKONO WA KHERI WA SIKUKUU VITUO 19 MARA.
Taasisi ya Nyansaho Foundation imekabidhi Mchele kilo 900 na sukari kg 375 pamoja na mafuta ya kupikia na soda na chumvi katika vituo 19…
BASSFU WAKEMEA FASHION SHOW TATA
Na Sabiha Khamis. Maelezo 31.12.2025 Katibu Mtendaji Baraza la Sanaa na Sensa ya Filamu Zanzibar (BASSFU) Juma Choum Juma amesema kuwa Baraza la Sanaa…
CHAMA CHA NCCR MAGEUZI CHATUMA SALAMU ZA MWAKA MPYA 2026
Chama cha siasa cha NCCR Mageuzi kimetuma salamu za mwaka mpya 2026 kwa watanzania na kuwashukuru wote walikiunga mkono Chama hicho katika harakati za…
UMOJA WA KITAIFA INABAKI KUWA AJENDA KUU YA MWAKA MPYA 2026 – RAIS SAMIA
Na. Fullshangwe Media Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amehutubia taifa akiwa Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar wakati wa…
RAIS SAMIA ATOA WITO KWA WATANZANIA KUSHEREKEA MWAKA MPYA 2026 KWA AMANI
Na. Fullshangwe Media Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa wananchi wa Tanzania wanapaswa kusherehekea sikukuu za…
PROF. SHEMDOE AMTAKA MKANDARASI ANAYEJENGA MAHAKAMA YA WILAYA YA LUSHOTO KUWAPA KAZI WAZAWA
Na James Mwanamyoto – Lushoto Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe…
NGAJILO BONANZA 2025 LAFANA IRINGA: MBUNGE NGAJILO ATOA AHADI NZITO ZA MICHEZO NA SANAA
NA DENIS MLOWE, IRINGA MBUNGE wa Iringa Mjini, Mhe. Fadhili Ngajilo, ameongoza hafla ya kufunga bonanza la michezo lililofanyika mjini Iringa, ambapo amesisitiza umuhimu…
MAKAMU WA RAIS ATOA POLE MSIBA WA BI LAURENCIA MABELLA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amefika nyumbani kwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi…