Sunday, June 21, 2026

2024

Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.

10699 Stories
WANANCHI SONGEA WAIOMBA SERIKALI KUBORESHA BUSTANI YA WANYAMAPORI RUHILA

WANANCHI SONGEA WAIOMBA SERIKALI KUBORESHA BUSTANI YA WANYAMAPORI RUHILA

Simba anayetunzwa kwenye Bustani ya Wanyapori ya Ruhila Zoo iliyopo katika Manispaa y songea mkoani Ruvuma ambaye ni moja ya vivutia vya utalii kwa wageni akiwa amepumzika kwenye banda. Baadhi ya wakazi wa Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma wakiangalia fuvu la kichwa cha Tembo lililohifadhiwa katika Bustani ya Wanyamapori Ruhila. Baadhi ya Wakazi wa Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wakitembelea vivutio mbalimbali kwenye Bustani ya wanyamapori Ruhila jana. Wakazi wa Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wakipata kitoweo cha Nyama pori kwenye Bustani ya Wanyama Ruhila jana. Wakazi wa Manispaa ya Songea  wakiwa wamepumzika kwenye vibanda maalum vilivyojengwa na Mamlaka ya Hifadhi wanyamapori(TAWA)katika Bustani ya wanyama Ruhila. Nyama pori inayopatikana katika Bustani ya Wanyama Ruhila kata ya Msamala ambayo ni moja ya vivutio vikubwa kwenye bustani hiyo kwa wageni kutoka ndani na nje ya mkoa wa Ruvuma. ……………… Na Mwandishi Maalum, Songea…

YANGA SC YAICHAPA FOUNTAIN GATE 5 -0

YANGA SC YAICHAPA FOUNTAIN GATE 5 -0

Mabingwa Watetezi Yanga SC wamefanikia kuibuka na ushindi wa mabao 5 –o dhidi ya Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu NBC Tanzania Bara…