Muonekano wa hospitali ya Wilaya ya  Nyasa mkoani Ruvuma ambayo inatoa hudumu zote muhimu kwa wananchi wa Mbambabay na wilaya ya ya Nyasa kwa ujumla.Kabla ya hospitali hiyo wananchi  wa wilaya ya Nyasa walikuwa wanasafiri umbali mrefu kufuata huduma za matibabu