Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania BoT alipata maelezo kutoka kwa Agent Creation Manager wa Tigo Aisha Kisai wakati Gavana huyo alipofanya ziara katika Banda lao, kwenye maonesho ya 48 ya biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja Sabasaba barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam. Julai 6, 2024.
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania BoT akitoa maagizo alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Agent Creation Manager wa Tigo Aisha Kisai wakati Gavana huyo alipofanya ziara katika Banda lao, kwenye maonesho ya 48 ya biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja Sabasaba barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam. Julai 6, 2024.

Gavana wa Benki Kuu Emmanuel Tutuba akimsikiliza Patricia Kahindi kulia (Lead key Account Manager wa SME) kampuni ya Simu ya TiGO wakati alipotembelea katika Banda la Kampuni hiyo na kupata maelezo namna wanavyotoa huduma zao kwa wananchi wanaotembelea kwenye Banda lao, katika Maonesho ya Sabasaba yanayoendelea Jijini Dar es salaam.
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzani Emmanuel Tutuba akimsikiliza Meneja Mauzo wa Kampuni ya Tigo Tanzania, Emmanuel Joshua wakati alipokuwa akitoa maelezo alipotembelea banda la kampuni hiyo kwenye viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Dalaam

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba (kushoto), akipokea zawadi Kutoka kwa meneja mauzo wa Kampuni ya Tigo Tanzania, Emmanuel Joshua mara baada ya Gavana Tutuba kutembelea Banda la Kampuni hiyo, kwenye maonesho ya Sabasaba yanayoendelea Jijini Dar es Salaam.
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania BoT Emmanuel Tutuba akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa kampuni ya Tigo alipofanya ziara katika Banda lao, kwenye maonesho ya 48 ya biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja Sabasaba barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam. Julai 6, 2024.
