Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Mei 16, 2024 amefanya mazungumzo na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Camillus Wambura, Ofisini kwa Waziri Mkuu Bungeni jijini Dodoma.