Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (wapili kutoka kulia) akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah (wapili kutoka kushoto) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Stephen Mbundi (wakwanza kutoka kulia) wakiimba wimbo wa Afrika Mashariki wakati wa wakishiriki Mkutano wa Baraza la Mawaziri la Kisekta wa Biashara, Viwanda, Fedha na Uwekezaji (SCTIFI) wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kutoka Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Congo DRC na Sudani Kusini kilichofanyika jijini Arusha tarehe 09 Februari 2024.
WIMBO WA AFRIKA MASHARIKI WAKATI WA MKUTANO WA SCTIFI 43 NGAZI YA MAWAZIRI WA EAC
By Alex Sonna
February 10, 2024 | 6:46 pm

Related Stories
View all
Mchanganyiko
23 minutes ago
PROF. MKENDA: HAKUNA MTOTO ATAKAYEACHWA NYUMA KATIKA ELIMU
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, amesema kuwa maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika ni kumbusho kwa jamii kuhusu wajibu…
Mchanganyiko
2 hours ago
DUME LA RIKA UMASAINI NDIO SAFARI YA KUAGA UJANA
Katika jamii ya Kimaasai, maisha ya mwanaume hupitia hatua mbalimbali za kimila zinazoonyesha ukuaji, Miongoni mwa hatua hizo muhimu ni kufanyiwa sherehe inayojulikana kwa…