2023
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
MKURUGENZI CMA AWATAKA WATUMISHI KUFANYA KAZI KWA UZALENDO NA HAKI KULETA MAENDELEO MWAKA 2024.
Mkurugenzi wa Tume ya usuluhishi na uamuzi (CMA), Usekelege Mpulla, amewataka watumishi wa tume kufanya kazi kwa uzalendo,weledi,uadilifu,na ufanisi pamoja na kuzingatia haki katika…
NAOMBA UPOKEE NEWS YA UFUNGUZI WA MATEMBEZI YA UVCCM PEMBA.
Picha no.DSC-0028-MJUMBE wa Kamati Kuu ya CCM Taifa ambaye pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla,akihutubia mamia ya Vijana…
BARAZA LA UUGUZI NA UKUNGA TANZANIA KUENDESHA MTIHANI KWA WATAHINIWA 4165
Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania linatarajia kuendesha zoezi la Mtihani kwa watahiniwa 4165, ambao wamekidhi vigezo vya kufanya Mtihani huu, wakiwemo waombaji 3917…
RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AZUNGUMZA NA BALOZI WA TA NZANIA NCHI UGANDA
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Tanzania Nchini Uganda Mhe.Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli,…
MAHFALI YA 19 CHUO KIKUU CHA TAIFA CHA ZANZIBAR (SUZA).
Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa jimbo la Siha Mhe. Dkt. Godwin Mollel akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wengine na wataalamu…
MAHFALI YA 19 CHUO KIKUU CHA TAIFA CHA ZANZIBAR (SUZA).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimtunuku…
SHABIKI WA SIMBA, MAN UNITED ASHINDA MILIONI 173 ZA M-BET
Mshindi wa Sh milioni 173 wa mchezo wa kubashiri wa Perfect 12 wa kampuni ya M-Bet Tanzania, Seif Babu ( katikati) akiwa katika picha…
UTEKELEZAJI MRADI WA UMEME WA JULIUS NYERERE (JNHPP) WAFIKIA ASILIMIA 94.78
*Mashine Mbili za Megawati 47O zimeshafungwa, majaribio yameanza *Ujazo wa maji watosha kuanza kuzalisha umeme *Dkt. Biteko asema kipaumbele ni upatikanaji wa umeme wa…
TAMASHA LA KILIMANJARO CULTURAL FESTIVAL KUKUZA UTALII MKOANI KILIMANJARO
Na Happiness Shayo Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amesema Tamasha la Kilimanjaro Cultural Festival linalohusisha utamaduni wa vyakula ,ngoma na…