MWILI WA JAJI DKT. UTAMWA KUZIKWA JUMAMOSI
Na Mary Gwera, Mahakama Mwili wa aliyekuwa Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania-Kanda ya Iringa, Mhe. Dkt. John Utamwa unatarajiwa kuzikwa Siku ya…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Na Mary Gwera, Mahakama Mwili wa aliyekuwa Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania-Kanda ya Iringa, Mhe. Dkt. John Utamwa unatarajiwa kuzikwa Siku ya…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifungua pazia kuashiria ufunguzi wa Hospitali kubwa ya kisasa ya Ghorofa ya Wilaya…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi wa Vyama vya Siasa nchini mara baada ya kuitisha kikao…
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Angeline Mabula akizungumza katika mkutano na vyombo vya habari kuzungumzia masuala mbalimbali ya sekta ya…
Mkuu wa Gereza la Liwale, David Mkobya (wa kwanza kushoto) akipokea msaada wa magodoro 20 kutoka kwa Mbunge wa Liwale, Zuberi Kuchauka leo Januari…
Sheikh wa Mkoa wa Mwanza Hassan Kabeke akizungumza kwenye hafla ya chakula cha mchana na watoto yatima iliyofanyika kwa hisani ya Rock Solutions. …
Na John Walter-Manyara Mkurugenzi wa Kampuni ya Mati super Brands Ltd David Mulokozi amesema miaka mitano ya kampuni hiyo anajivunia kuajiri watu zaidi ya 390.…
Tenki lenye uwezo wa kuhifadhi lita 90,000 za maji lililoanza kuhudumia wakazi wa kijiji cha Nyalailembo wilyani Mbeya. Msimamizi wa ujenzi wa mradi wa maji Shizuvi Halmashauri ya Mbeya Mhandisi Felix Msangi,akiwaonesha baadhi ya wakazi wa kijiji cha Nyalailembo tenki la maji lililojengwa kupitia fedha za mpango wa maendeleo kwa ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya Uvico-19. Afisa Utumishi wa wakala wa maji na usafi wa mazingira vijijini(Ruwasa)mkoa wa Mbeya Emile Mpasi kulia,akizungumza na baadhi ya wazee wa kijiji chaNyalailembo wilayani Mbeya baada ya kukabidhi rasmi mradi wa maji wa Shizuvi utakaohudumia zaidi ya wakazi 2,474 wa kijiji hicho. Baadhi ya akina mama wa kijiji cha Nyalailembo Halmashauri ya wilaya Mbeya mkoani Mbeya wakichota maji katika moja ya vituo vya kuchotea maji kilichojengwa kupitia mradi wa maji wa Shizuvi. Msimamizi wa mradi wa maji wa Shizuvi Mhandisi Felix Msangi kulia na Afisa Utumishi wa Ruwasa mkoa wa Mbeya Emile Mpasi katikati,wakimtua ndoo ya maji mkazi wa kijiji cha Nyalailembo kata ya Shizuvi wilayani Mbeya Jane Mwashibanda. Baadhi ya akina mama wa kijiji cha Nyalailembo kata ya Shizuvi wilayani Mbeya,wakimsikiliza afisa utumishi wa Ruwasa mkoa wa Mbeya Emile Mpasi kulia baada ya kutembelea mradi wa maji Shizuvi uliotekelezw na Ruwasa kwa gharama ya Sh,milioni 482,kushoto ni msimamizi wa mradi huo Mhandisi Felix Msangi. ……………………….. Na Muhidin Amri,Mbeya UJENZI wa mradi wa maji Shizuvi kijiji cha NyalaIlembo Halmashauri ya wilaya Mbeya mkoani Mbeya uliotekelezwa na wakala wa maji na usafi wa mazingira vijijini(Ruwasa),umekamilika kwa asilimia 100 na hivyo kumaliza kabisa kero ya upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama…
Mke wa Rais wa Zanzibar Mhe.Mama Mariam Mwinyi pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation “ZMBF”(katikati) akikabidhi Boti na Vifaa vya ukulima wa…