Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea mfano wa ramani ya mji mpya wa biashara, Nyamanzi Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi. kutoka kwa Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Mhe.Omar Said Shaaban ,Ikulu Jijini Zanzibar.
Picha ya Mchoro wa mfano wa ramani ya mji mpya wa biashara, Nyamanzi Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi. [Picha na Ikulu