Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimkaribisha Mgeni wake Rais wa Romania Mhe.Klaus Iohannis baada ya kuwasili Ikulu Jijini Zanzibar leoakiwa katika ziara ya siku nne nchini.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiwa na mgeni  wake Rais wa Romania Mhe.Klaus Iohannis baada ya kuwasili Ikulu Jijini Zanzibar leoakiwa katika ziara ya siku nne nchini.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipeana mkono na  Mgeni wake Rais wa Romania Mhe.Klaus Iohannis baada ya kumkaribisha alipowasili Ikulu Jijini Zanzibar leo akiwa katika ziara ya siku nne nchini.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Mgeni wake Rais wa Romania Mhe.Klaus Iohannis baada ya kumkaribisha alipowasili Ikulu Jijini Zanzibar leo akiwa katika ziara ya siku nne nchini.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza  Mgeni wake Rais wa Romania Mhe.Klaus Iohannis wakati wa mazungumzo yao leo alipowasili Ikulu Jijini Zanzibar  akiwa katika ziara ya siku nne nchini.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiwakaribisha  Rais wa Romania Mhe.Klaus Iohannis (kushoto) na Mkewe Carmen Iohannis wakati wa chakula maalum alichowaandalia leo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar baada ya  mazungumzo yao   katika ziara ya siku nne nchini.

Rais wa Romania Mhe.Klaus Iohannis akitia saini kitabu cha wageni  leo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kabla ya   mazungumzo yao  na mwenyeji wake  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) Rais Klaus Iohannis yupo nchini kwa ziara ya siku nne nchini.[Picha na Ikulu