Baadhi ya wageni waalikwa na Taasisi za habari waliohudhuria katika Ufunguzi wa Mkutano wa 30 wa Mashirika ya Utangazaji ya Umma kutoka Nchi za Kusini mwa Afrika-SABA,uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Zanzibar.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania TBC DKT,Ayubu Rioba Chacha akitoa taarifa fupi kuhusiana na Utambulisho wa Washiriki katika Mkutano wa 30 wa Mashirika ya Utangazaji ya Umma kutoka Nchi za Kusini mwa Afrika-SABA,uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Zanzibar.
Mkurugenzi wa Habari-Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw,Mobhare Matinyi akitoa hotuba ya Utambulisho wa Viongozi katika Mkutano wa 30 wa Mashirika ya Utangazaji ya Umma kutoka Nchi za Kusini mwa Afrika-SABA,uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Zanzibar.
Msanii wa Bendi ya Mjomba Mrisho Mpoto akitumbuiza katika Mkutano wa 30 wa Mashirika ya Utangazaji ya Umma kutoka Nchi za Kusini mwa Afrika-SABA,uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Zanzibar.
Rais wa SABA BW,Stanley Benjamin Similo akitoa hotuba na Salamu za SABA katika Mkutano wa 30 wa Mashirika ya Utangazaji ya Umma kutoka Nchi za Kusini mwa Afrika-SABA,uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Zanzibar.
Naibu Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia SMT,MH,Kundo Andrea Mathew akitoa hotuba katika Mkutano wa 30 wa Mashirika ya Utangazaji ya Umma kutoka Nchi za Kusini mwa Afrika-SABA,uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Zanzibar.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Zanzibar Riziki Pembe Juma akitoa hotuba na kumkaribisha Mgeni Rasmi katika hafla ya Ufunguzi wa Mkutano wa 30 wa Mashirika ya Utangazaji ya Umma kutoka Nchi za Kusini mwa Afrika-SABA,uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Hussein Ali Mwinyi (kulia)akimkabidhi Muakilishi kutoka PBZ Bank Cheti Maalum katika Ufunguzi wa Mkutano wa 30 wa Mashirika ya Utangazaji ya Umma kutoka Nchi za Kusini mwa Afrika-SABA,uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Hussein Ali Mwinyi (kulia)akimkabidhi Muakilishi kutoka ZIPA Salha Mohamed Ali Cheti Maalum katika Ufunguzi wa Mkutano wa 30 wa Mashirika ya Utangazaji ya Umma kutoka Nchi za Kusini mwa Afrika-SABA,uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Zanzibar.