Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg. Abdulrahman Kinana Akimnadi Mgombea wa Ubunge jimbo la Mbarali kupitia CCM Ndg Bahati Ndingo Katika Mkutano wa Kufunga Kampeni za Uchaguzi Mdogo Wa Jimbo hilo katika Viwanja Vya Stendi ya Chimala.( Picha na Fahadi Siraji)
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg. Abdulrahman Kinana. Akizungumza Katika Mkutano wa Kufunga Kampeni za CCM Jimbo la Mbarali Mkoani Mbeya. ( Picha na Fahadi Siraji)
Wanachama na Wananchi waliohudhuria Mkutano Huo
Katibu wa NEC Idara ya Oganaizesheni akizungumza Katika Mkutano wa Kufunga Kampeni za CCM Jimbo la Mbarali Mkoani Mbeya. ( Picha na Fahadi Siraji).