Rais wa Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi cheti na Sh. milioni tatu mfanyakazi bora wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Mose Melele huku Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishuhudia katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ziliofanyika kwenye uwanja wa Jamhuri mjini, Morogoro, Mei 1, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
DKT. SAMIA AMKABIDHI CHETI MOSE MELELE, MFANYAKAZI BORA OFISI YA WAZIRI MKUU
By Alex Sonna
May 1, 2023 | 10:31 am

Related Stories
View all
Mchanganyiko
1 hour ago
PROF. SHEMDOE: KILA MWANAFUNZI AFIKAPO DARASA LA TATU AWE MAHIRI WA KUSOMA, KUANDIKA NA KUHESABU
Na: OWM–TAMISEMI, Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, amewataka Walimu…
Mchanganyiko
2 hours ago
MKAZI WA ARUSHA AMFUNGUKIA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI KUHUSU ARDHI YAKE
Na Mwandishi Wetu, Arusha MKAZI wa Unga Ltd jijini Arusha, Euralia Matai, ameiomba Serikali kuingilia kati kutatua changamoto ya mgogoro wa ardhi inayomkabili, akieleza…