Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa na Viongozi wengine  katika futari aliyowaandalia  Wazee wa Chama cha Mapinduzi CCM   jana katika ukumbi wa  Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Viongozi alipowasili viwanja vya Jengo la  Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar jana katika futari aliyoiandaa kwa Wazee wa Chama cha Mapinduzi CCM.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (katikati) akiwa na Viongozi wengine katika  futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi,kwa Wazee wa Chama cha Mapinduzi CCM katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar jana.

Wazee wa Baraza la Wazee wa Chama cha Mapinduzi CCM wakiwa katika futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi,kwa Wazee hao   katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (katikati) na Viongozi wengine wakiitikia dua iliyoombwa baada ya kupata futari  iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi,kwa Wazee wa Chama cha Mapinduzi CCM katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akitoa nasaha mara baada ya kupata   futari aliyowaandalia  Wazee wa Chama cha Mapinduzi CCM  jana katika ukumbi wa  Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar (kulia) Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Makamo wa Pili wa rais wa Zanzibar Mhe.Hemedi Suleiman  Abdulla (kulia) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohamed Saidi Dimwa 

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (kushoto) akiagana na Bibi. Mtumwa Fikirini (kulia) pamoja na Wazeewengine mara baada ya   kupata futari  iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi,kwa Wazee wa Chama cha Mapinduzi CCM katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar jana.

Baadhi ya Viongozi wa Jumuiya ya Wanawake wakiwa katika futari  iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi,kwa Wazee wa Chama cha Mapinduzi CCM katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar jana.

Viongozi na Wazee wa Chama cha Mapinduzi wakiitikia dua iliyoombwa baada ya kumalizika kwa futari ya Wazee wa CCM iliyoandaliwa na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi,katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar jana.[Picha na Ikulu]