Katibu Mkuu  wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo leo ametembelea na kujionea maendeleo ya ujenzi wa daraja la Gunyoda, Mbulu ambalo mpaka kukamilika litagharimu shilingi 839,760,000.