Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Ufilipino Nchini Tanzania Mhe.Marie  Charlotte G.Tang,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo kujitambulisha.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa katika mazungumzo  na Balozi wa Ufilipino Nchini Tanzania Mhe.Marie  Charlotte G.Tang,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kujitambulisha leo .

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akimakabidhi zawadi  mgeni wake Balozi wa Ufilipino Nchini Tanzania Mhe.Marie  Charlotte G.Tang,baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kujitambulisha .

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati alipokuwa katika mazungumzo  na Balozi wa Ufilipino Nchini Tanzania Mhe.Marie  Charlotte G.Tang (kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kujitambulisha leo,(wengine kulia) Mkuruenzi mawasiliano Ikulu Ndg.Charles Hilary na Katibu wa Rais Balozi Masoud Abdalla  .

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa katika mazungumzo  na Balozi wa Ufilipino Nchini Tanzania Mhe.Marie  Charlotte G.Tang,wakati alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo kujitambulisha.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa katika picha na mgeni wake Balozi wa Ufilipino Nchini Tanzania Mhe.Marie  Charlotte G.Tang,baada ya mazungumzo leo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar  kujitambulisha.[Picha na Ikulu