Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua chumba cha maabara katika shule mpya ya Sekondari  Kitandi iliyopo Ruangwa, Lindi 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wakazi wa eneo la kitandi, Ruangwa, Lindi wakati alipokagua maendeleo ya ujenzi wa shule ya sekondari Kitandi, Februari 22, 2023.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)