Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni kubwa inayojihusisha na kilimo, Syngenta Crop Protection AG Erik Frywald aliyeambatana na ujumbe wake Davos nchini Uswizi.
RAIS SAMIA AKUTANA NA AFISA MTENDAJI MKUU WA SYNGENTA CROP PROTECTION AG,DAVOS NCHINI USWIZI
By Alex Sonna
January 19, 2023 | 6:18 pm

Related Stories
View all
Mchanganyiko
34 minutes ago
DKT. OMAR ARIDHISHWA NA UJENZI WA CHUO CHA VETA KIGAMBONI
Naibu katibu Mkuu Wizara wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Hussein Mohamed Omar ameridhishwa na hatua iliyofikiwa katika ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi…
Mchanganyiko
1 hour ago
MKUU WA MKOA WA DODOMA AFURAHISHWA NA UTOAJI WA HUDUMA KWA WATEJA UNAOTEKELEZWA NA PPRA
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Bi. Rosemary Senyamule, ametembelea Ofisi za Makao Makuu ya Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) jijini Dodoma,…

