WAZIRI GWAJIMA AKOSHWA NA MAENDELEO YA ISW KISANGARA
Kabla ya kuhudhurisha mahafali ya 5 ya @isw_official_tz #Kisangara Waziri Dkt. Gwajima alizindua rasmi madarasa mawili yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 370 na ofisi…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Kabla ya kuhudhurisha mahafali ya 5 ya @isw_official_tz #Kisangara Waziri Dkt. Gwajima alizindua rasmi madarasa mawili yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 370 na ofisi…
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo,akizungumza kwenye Mkutano wa 17 wa Chama cha Wakuu wa Shule…
Mratibu wa Mafunzo ya BOOST kutoka Idara ya Usimamizi wa Elimu Ofisi ya Rais TAMISEMI Yusuph Singo akizungumza wakati anafungua mafunzo elekezi ya Timu…
Rai imetolewa kwa walimu wote wa shule za msingi na sekondari na vyuo nchini kupunguza matumizi ya viboko na vitisho kwa wanafunzi kama njia…
ILI kukabiliana na rushwa ya ngono pia mfumo dume katika vyumba vya habari, kila chombo cha habari kinapaswa kuwa na dawati la jinsia. Kauli…
Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Prof. Elisante Ole Gabriel akizungumza alipokuwaakitoa mada katika Mkutano wa viongozi waandamizi wa Mahakama ya Tanzania na Wahariri…
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limekabidhi Leseni na Vyeti vya ubora hamsini na tisa (59) na kati ya hivyo, leseni na vyeti 39 (66.1%)…
Shirika la Umeme Nchini( TANESCO) limefanikiwa kupunguza makali ya Mgao wa Umeme kutoka wastani wa kati ya Megawati mia mbili(200) hadi mia mbili hamsini…
Kamishna Msaidizi Uhifadhi, Hifadhi ya Taifa ya Saadani, Ephraim Mwamongo (kulia) akiwa katika mstari wa pamoja na wanahabari na watumishi wengine wa hifadhi wakionesha…