2022
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
YANGA KUTANGAZA VYUMA VIPYA MKWAKWANI LEO
KLABU ya Yanga, leo Jumapili imepanga baada ya mchezo dhidi ya Coastal Union, kumtambulisha nyota wake wa kimataifa ikiwa ni zawadi kwa mashabiki wao. Mchezo huo wa Ligi Kuu Bara, umepangwa kuchezwa kwenye…
MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR AONGOZA KIKAO MAALUM CHA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM ZANZIBAR
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein Akiongoza kikao (Maalum) cha kamati Maalum ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa…
MWAKA MPYA 2022 WATANZANIA TUENDELEE KUKUZA,KULINDA NA KUDUMISHA WETU
…………………………………………………… Na Eleuteri Mangi, WUSM, Dodoma Watanzania tumeanza mwaka mpya wa 2022 kwa bashasha huku tukithamini na kuipenda nchi yetu adhimu ya Tanzania ambayo…
SERIKALI KUFANYA UCHUNGUZI CHANZO CHA MOTO ULIOTEKETEZA SOKO LA MCHIKICHINI KARUME
…………………. NA MUSSA KHALID Wafanyabiashara wa Soko la Mchikichini Karume jijini Dar es salaam wametakiwa kuwa watulivu wakati serikali ikiendea kufanya uchunguzi kwa siku…
ASTON VILLA YATOKA NYUMA NA KUTOKA SARE YA 2-2 NA MAN UNITED
Aston Villa usiku jana wamelazimishwa sare ya 2-2 na Manchester United Uwanja wa Villa Park Jijini Birmingham Mabao ya Man United yalifungwa na Bruno…
WAKANDARASI MIRADI YA MAJI RUVUMA WATAKIWA KUKAMILISHA MIRADI KWA WAKATI
Mkurugenzi wa kampuni ya Jambela Ltd James Mbeya katikati, akitia saini ya mkataba wa ujenzi wa miradi ya maji inayotekelezwa na wakala wa maji…
WAZAZI MBINGA WATAKIWA KUCHANGAMKIA UJENZI WA MADARASA MAPYA KUPELEKA WATOTO SHULE
Mkuu wa shule ya Sekondari ya wasichana Mbinga Ifigenia Nzota kulia akitoa taarifa ya kukamilika kwa ujenzi wa vyumba vya madarasa vilivyojengwa chini ya…
MAN CITY YAZIDI KUUSAKA UBINGWA YAICHAPA 1-0 CHELSEA
BAO pekee la Kevin De Bruyne dakika ya 20 limetosha kuipa Manchester City ushindi wa 1-0 dhidi ya katika mchezo wa Ligi Kuu ya…
NIGERIA YASONGA MBELE AFCON, MISRI YAZINDUKA YAICHAPA GUINEA- BISSAU
TIMU ya taifa ya Nigeria imefuzu hatua ya mtoano ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika baada ya ushindi wa 3-1 dhidi ya…