Home Mchanganyiko WANAFUNZI KIST WAJIFUNZA KWA VITENDO

WANAFUNZI KIST WAJIFUNZA KWA VITENDO

0

Wanafunzi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume Zanzibar (KIST) wanaosomea fani ya (CIVIL ENGINERING) Degree mwaka wa kwanza wakijifunza kwa vitendo kwenye Setting out ya Ujenzi wa Nyumba. Katika Eneo la Taasisi ya Karume Mbweni Zanzibar.

PICHA NA MARYAM KIDIKO – KIST.