Wanafunzi wa Mafunzo ya Amali (KVTC)  kutoka Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume Zanzibar (KIST), wakiwa katika Wiki ya Mitihani iliyoanza leo tarehe , 21/11/2022.

PICHA NA MARYAM KIDIKO- KIST.