Waziri Mkuu, Kassim Majaliiwa akisalimiana na viongozi  wakati alipowasili kwenye ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya Urambo mkoa wa Tabora kuzungumza na wakulima wa tumbaku wa Urambo, viongozi wa Vyama vya Vikuu vya Ushirika  na viongozi wa AMCOS wilayani humo,  Septemba 9, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliiwa akizungumza na wakulima wa tumbaku wa Urambo, viongozi wa Vyama vya Vikuu vya Ushirika  na viongozi wa AMCOS wilayani humo  kwenye ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya Urambo mkoa wa Tabora Septemba 9, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)