Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Naghenjwa Kaboyoka (katikati) akiongoza kikao cha kamati hiyo kilichokaa na kupokea maelezo kuhusu majukumu ya ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali katika udhibiti wa matumizi ya fedha za Umma, Kupitia na kuchambua Taarifa ya Hesabu zilizokaguliwa za Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) kilichofanyika leo tarehe 8 Septemba, 2022 katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Naghenjwa Kaboyoka akiongoza kikao cha kamati hiyo kilichokaa na kupokea Kupokea maelezo kuhusu majukumu ya ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali katika udhibiti wa matumizi ya fedha za Umma, Kupitia na kuchambua Taarifa ya Hesabu zilizokaguliwa za Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) kilichofanyika leo tarehe 8 Septemba, 2022 katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo, Mhe. Japhet Hasunga
Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA), Prof. Mark Mwandosya akijitambulisha mbele ya kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakati wa kikao cha kamati hiyo kilichokaa na kupokea maelezo kuhusu majukumu ya ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali katika udhibiti wa matumizi ya fedha za Umma, Kupitia na kuchambua Taarifa ya Hesabu zilizokaguliwa za Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) leo tarehe 8 Septemba, 2022 katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Kushoto ni Mkurugenzi wa Petroli EWURA, Ndg. Gerald Maganga na Mkurugenzi wa Fedha, Utawala na Rasiliamali Watu EWURA, Ndg. Stanley Mahembe.
Mjumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Isack Kamwelwe akichangia jambo wakati wa kikao cha kamati hiyo kilichokaa na kupokea maelezo kuhusu majukumu ya ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali katika udhibiti wa matumizi ya fedha za Umma, Kupitia na kuchambua Taarifa ya Hesabu zilizokaguliwa za Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) leo tarehe 8 Septemba, 2022 katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakiwa katika kikao cha kamati hiyo kilichokaa na kupokea maelezo kuhusu majukumu ya ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali katika udhibiti wa matumizi ya fedha za Umma, Kupitia na kuchambua Taarifa ya Hesabu zilizokaguliwa za Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) leo tarehe 8 Septemba, 2022 katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)